Wanasema sharing is caring. Ndiyo maana Harmonize haoni hatari kuweka kambi kwenye koloni la zamani la bosi wake, Diamond.
Mpaka sasa Inaonekana kuwa si tetesi
tena kwasababu CEO wa WCB mwenyewe ametoa baraka zake kwa wawili hao ame
BLESS , Harmonize na Jacqueline Wolper ambao yeye anawaita ‘love
birds.’ Diamond na Wolper waliwahi kuwa na uhusiano miaka kadhaa
iliyopita.
Diamond amepost video inayomuonesha
Harmonize akiwa kwenye gari na mpenzi wake huyo mpya huku akimuimbia hit
ya bosi wake, Number One.
“A throw Back of two love Birdsbirdrevolving_hearts…. Mjini kutamu jamani… hebu nitagie Wakereketwa hapa, waje kuzirai….?” ameandika Diamond kwenye video hiyo.
Naye dada yake, Esma hakusita kulipigia
chapuo penzi hilo jipya kwa kuiweka video hiyo na kuandika: Karibu ktk
familia yetu @wolperstylish mawifi tunagubu but utuzoee ila nawee usije
kuwa na roho mbaya mjengoni mchaga wewe harmo wetu tumetoka nae mbaliii
tangu tunalala stendi winkmaskmaskmask utuzalie twaribu maana kwetu ni T
T tuuu mawifi wazamani am soleeee kaka kashapenda tunafanyaje
msiniblokuuu tuu tupendane japo kinafki bana.”
No comments:
Post a Comment