Kama ulikosa kutazama msimu wa kwanza
ulipita wa Prison Break itabidi ujipange kufanya hivyo msimu wapili
unakuja uende nao sawa.
Prison Break inarudi ikiwa na waigizaji wote kuanzia msimu wa kwanza akiwemo Michael Scofield aliyekuwa anadhaniwa amekufa.
Itazame Trailer yake hapo chini
No comments:
Post a Comment