KUTOKA JO’BURG SOUTH AFRICA: KUANZIA LEO ALIKIBA YUKO MIKONONI MWA SONY MUSIC (PICHA 16)

KAMA UNAPENDA KUONA PICHA ZA NGOOONOO...BOFYAAA..HAPAAA...CHINII...NISHIDAAAAAA... ==>> >

Mwimbaji staa wa bongofleva Alikiba kuanzia leo atakua mikononi mwa Sony Music kuanzia leo, kampuni kubwa ya muziki inayofanya kazi na mastaa wa dunia kama Beyonce, John Legend na Chris Brown.
Moja ya kazi za mkataba huo ni kumtengeneza Alikiba kweye kiwango cha juu zaidi kimuziki, kibiashara na kugharamia video zake na anaporekodi audio zake, kila anapotoa muziki mpya unaachiwa kwa nguvu ya usimamizi wa Sony Music kwenye masoko makubwa ya muziki kama Marekani, Ulaya na Africa.
Sio kila msanii wa Afrika ameweza kusaini na Sony Music ambapo nimeambiwa kwenye shughuli hii ya leo kwamba mkataba aliosaini Alikiba unafanana kabisa na ule aliosaini mwimbaji staa wa Nigeria Davido ambapo unavipengele vya kusababisha kolabo kwa urahisi zaidi na mastaa wakubwa wakiwemo wa Marekani.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
3X6A0317
.
.
.
.
.
.
Managing Director wa Sony Music Africa Sean Watson na Alikiba
.

No comments:

Post a Comment