LEAKED VIDEO FROM NAIROBI KENYA SHOWING A BEAUTIFUL GIRL EXPOSINGHER PRIVATE PARTIES


Pictures of Beautiful Irine Lynn of Video, Looking Lovely.


The Beauty Queen of Video has shared these Amazing Photos proving how beautiful she is...Yeah lets Forget the Secret Affair thing with D****** since we couldn't find any truth.... She is In Deed

VERA FROM KENYA CAUGHT DRUNK IN CASINO SOUTH AFRICA AND THIS IS WHAT SHE WAS DOING

OMG! SHIFFAH BABY FROM SIRI ZA FAMILY SHOW OFF HER PRIVATES ON LEAKED SLEEPING VIDEO THIS MORNING

THE LEAKED VIDEO FROM AFRICAN GIRL BY NAME NAME SADA, MAKE HEADLINE ALL OVER THE COUNTRY

WHILE OTHERS CELEBRATING MOTHERS DAY, THIS VIDEO LEAKED ON FAIZA ALLY'S INSTAGRAM ACCOUNT


EXCLUSIVE VIDEO: LULU CONFESSES TO PUT SOME SHIT TO INCREASE HER B00TY'SHAPE


VIDEO: GET TO KNOW THE MOT BEAUTIFUL GIRL RECENTLY ROCKING INSTAGRAM

JOSE MOURINHO HAS FINALLY SIGNED A CONTRACT WITH MANCHESTER UNITEDAHEAD OF BEING UNVEILED AS THE CLUB’S NEW MANAGER.


 
Jose Mourinho has agreed a deal to become Manchester United's nex manager
The former Chelsea boss was heavy favourite to succeed Louis van Gaal, who was sacked two days after winning the FA Cup.
And, according to Sky Sports News, Mourinho put pen-to-paper on a contract with the Red Devils at a London hotel.
Jose Mourinho has agreed a deal to become Manchester United's nex manager
Jose Mourinho has agreed a deal to become Manchester United's nex manager 

United have yet to confirm the news.
It is likely Mourinho’s first press conference will not take place until after Euro 2016 as is the case with new Manchester City manager, Pep Guardiola.
The two-time Champions League-winning boss’ first appearance in the Old Trafford dug-out will be as manager of England during a Soccer Aid match on June 10

REAL MADRID YATWAA USHINDI CHINI YA GWIJI – Zinedine Zidane

Takwimu za kila aina zilizungumziwa baada ya Atletico Madrid kuchapwa mabao 5-3 na Real Madrid katika uwanja wa San Siro, jijini Milan, Italia, jana Jumamosi. Takwimu ya kwanza ilimzungumzia mshambuliaji wa Kireno, Cristiano Ronaldo ambaye sasa ameshainua vikombe vya klabu bingwa za Ulaya (UEFA) mara tatu akiwa mchezaji. Mwanzo ilikuwa Manchester United 2008 na mara mbili sasa akiwa mshambuliaji wa namba yake maarufu ya saba, Real Madrid (2014 na 2016). Ronaldo ndiyo aliyefunga kazi baada ya kuweka penalti ya mwisho kimiani katika mechi hii kali ya wababe wawili wa Spain. Ushindi wa penalti ulitokona na wafalme hawa kwenda sare – bao moja kwa moja -hata baada ya kipindi cha ziada cha dakika 30- kilichowekwa baada ya mchezo wa kukata na shoka wa saa moja na nusu.
Takwimu ya pili ilizungumzia umahiri wa kocha Zinedine Zidane aliyeingoza timu ya Ufaransa kutwaa kombe la dunia la 1998, na ambaye anahesabika kama mmoja wa wachezaji bora kuzidi wote ndani ya soka duniani. “Zizou” ameweka historia kwa kujiunga na mameneja washindi waliozifikisha timu zao kileleni baada ya pia kuchezea timu hizo miaka ya nyuma. Hili si jambo linalotokea sana, siku za leo ambapo makocha maarufu kama mzee mstaafu Alex Fergusson (Man United) Arsene Wenger na Jose Mourinho hawakuwa wachezaji wa kutisha bali wa kawaida tu.
Baada ya kushindwa kuonesha nguvu zao kama wachezaji walibobea zaidi katika ukocha.
Makocha waliowahi kushinda kombe la klabu za Ulaya kama wachezaji vile vile ni Pep Guardiola (Barcelona) , Carlo Ancelotti (AC Milan) na Luis Miguel Ramis (Real Madrid). Zidane alikuwa kati wachezaji nyota waliovuma miaka kumi na tano iliyopita na kuitwa “Galacticos” – mastaa au wachezaji nyota kuzidi wote- baada ya kununuliwa kwa paundi 46 milioni mwaka 2001. Wengine ni David Beckham, Luis Figo, Kaka, Claude Makelele, nk.
Mchezo wa San Siro ulianza na bao lililotokana na pasi ya Gareth Bale, na kufungwa na Sergio Ramos dakika ya 15 ya dimba. Hata hivyo uongozi wa Real Madrid haukudumu. Dakika ya 79, Yannick Carasco wa Atletico- alisawazisha na kusababisha mechi kuendelea nusu saa zaidi. Kutokana na bao lolote jingine kutofungwa , mchezo uliishia kwa penalti. Kila mchezaji alifunga isipokuwa Juanfran wa Atletico Madrid. Mwishoni, Cristiano Ronaldo hakujivunga na kuifikisha timu yake ubingwani kwa penalti ya mwisho. Angekosa tungekuwa tunazungumzia mengine leo.
Real Madrid na Atletico ni miongoni mwa timu tatu kuu za Spain ambazo zimewahi kushinda vikombe kadhaa ikiwemo La Liga nchini Spain. Atletico Madrid iliyowahi kushinda La Liga mara kumi – haina wachezaji maarufu tunaowajua sana- kama ilivyo Real Madrid, lakini miongoni mwa wanaojulikana ni mshambuliaji Fernando Torres –aliyeshaichezea Liverpool na Chelsea- na Thomas Partey, mzawa wa Ghana. Kocha wao ni Diego Simone aliyekuwa zamani nyota ya Argentina – na kushiriki michuano ya kombe la dunia la 1994 , 1998 na 2002. Simone anasifika kwa kipaji chake cha kuongoza, kuona umbali na ukaribu wa mechi na ufundi kimpira.
Atletico Madrid ilianzishwa rasmi mwaka 1903 ambapo wapinzani wake Real Madrid mwaka 1902. Klabu hizi mbili zina majina ya utani, la Real Madrid ni “Galacticos” ( wachezaji matajiri na nyota) na Atletico huitwa “Los Colchoneros” yaani watengenezaji magodoro. Utani wa godoro unatokana na jezi zao zenye mistari mistari inayofanana na magodoro.
Jezi nyeupe ya Real Madrid ilivumbuliwa mwaka 1955 na haijabadilishwa tena.

Nadia Ali Kutoka Pakistan Ni Mwaname anae cheza video za uch**** Aliyeamua Ku "Twerk" Hadharani video iko hapa



Nadia Ali ambaye ni mcheza picha za X kutoka Pakistan akiwa Pia ni mwanamke muislamu alidilikiku "Twerk" hadharani baada ya kualikwa kwenye kipindi Cha "Thisis50" kinachoongozwa Na Young Jack Thriller Nchini marekani. 

Mwanadada alizungumzia jinsi alivyopigwa marufuku Na nchi Na maisha yake kiujumla ya Kua Kama mcheza picha za X akiweka dini yake ya kiislamu pembeni.
CHEKI HAPA


Harmonize Na Jacqueline Wolper Kuna Namna,Diamond Ametoa Baraka Zake Kwa Wawili Hao.

Ni kweli Harmonize amemrithi Diamond kwa Jacqueline Wolper?
Wanasema sharing is caring. Ndiyo maana Harmonize haoni hatari kuweka kambi kwenye koloni la zamani la bosi wake, Diamond.

Mpaka sasa Inaonekana kuwa si tetesi tena kwasababu CEO wa WCB mwenyewe ametoa baraka zake kwa wawili hao ame BLESS  , Harmonize na Jacqueline Wolper ambao yeye anawaita ‘love birds.’ Diamond na Wolper waliwahi kuwa na uhusiano miaka kadhaa iliyopita.

Diamond  amepost video inayomuonesha Harmonize akiwa kwenye gari na mpenzi wake huyo mpya huku akimuimbia hit ya bosi wake, Number One.



“A throw Back of two love Birdsbirdrevolving_hearts…. Mjini kutamu jamani… hebu nitagie Wakereketwa hapa, waje kuzirai….?” ameandika Diamond kwenye video hiyo.

Naye dada yake, Esma hakusita kulipigia chapuo penzi hilo jipya kwa kuiweka video hiyo na kuandika: Karibu ktk familia yetu @wolperstylish mawifi tunagubu but utuzoee ila nawee usije kuwa na roho mbaya mjengoni mchaga wewe harmo wetu tumetoka nae mbaliii tangu tunalala stendi winkmaskmaskmask utuzalie twaribu maana kwetu ni T T tuuu mawifi wazamani am soleeee kaka kashapenda tunafanyaje msiniblokuuu tuu tupendane japo kinafki bana.”

Hata hivyo si wote wanaoshare furaha hiyo huku wengi wakidai kuwa Harmonize anahitaji kuwa na msichana wa size yake

Official Trailer YA PRISON BREAK MWENDELEZO IMETOKA ITAZAME HAPA.


Kama ulikosa kutazama msimu wa kwanza ulipita wa Prison Break  itabidi ujipange kufanya hivyo msimu wapili unakuja uende nao sawa.
Prison Break inarudi ikiwa na waigizaji wote kuanzia msimu wa kwanza akiwemo Michael Scofield aliyekuwa anadhaniwa amekufa.

Itazame Trailer yake hapo chini


MWANZA | WATU 3 WAMEUAWA KWA KUKATWA MAPANGA NA MASHOKA NA WENGINE KUJERUHIWA NDANI YA NYUMBA YA IBADA (MSIKITI)

Taarifa iliyonifikia kutokea Mwanza ni hii ya kusikitisha ya watu watatu kuuawa kwa kuchinjwa wakiwa katika nyumba ya ibada usiku May 18, 2016,  Msikiti wa RAHMAN eneo la Ibanda relini mtaa wa Utemini Mkolani Mwanza.

Ripoti kutoka kwa Kamanda wa Jeshi la Polisi Mwanza Ahmad Msangi amesema……Watu wasiozidi 15 wakiwa wamevalia mavazi ya kuficha uso, wakiwa na Mapanga, Shoka na Bendera nyeusi yenye maandishi meupe waliingia msikitini wakati waumini wakiwa wanaswali wakazima taa wakisema Kwanini mnaswali wakati wenzenu wanashikiliwa na Polisi?’
Msikiti wa RAHMAN ambapo tukio limetokea

‘Waliouawa 
1.Feruz Ismail Elias (27) Imamu wa Msikiti, 2.Mbwana Rajabu (40), 3.Khamis Mponda (28) pamoja na Ismail Abeid (13) aliyejeruhiwa mwanafunzi wa shule ya Jabar Hila Nyasaka, anapata matibabu kwenye Hospital ya Nyamagana ;- Kamanda Ahmad Msangi

Waumini wengine walifanikiwa kukimbia huku wahalifu wakikimbia na kurusha chupa mbili za Konyagi ndani ya Msikiti zikiwa na Petroli pamoja na tambi moto, chupa moja ililipuka ila haikuleta madhara makubwa’ Amesema Kamanda Ahmed Msangi

WEMA SEPETU AANDIKA UJUMBE MZITO ASUBUHI YA LEO,TEAM BIBI KWA MARA YA KWANZA WAMKUBALI



The Inluencial Actress Shared This Amazing Pic with this Sweet Message Saying That " God Grants Accordingly.....!!! " Your Right My Dear, See Fans

MSICHANA MWINGINE KATI YA WALE 276 WALIOTEKWA NA BOKO HARAM APATIKANA


Baada ya miaka miwili tangu kutekwa kwa wasichana zaidi ya 276 wa shule na kupatikana kwa mmoja May 18 2016 msichana mwingine Serah Luka  amepatikana kaskazini mashariki mwa jimbo la Borno.
Mkuu wa jeshi la polisi Nigeria ametibitisha taarifa hizo japo hakutoa maelezo mengine ya ziada. Taarifa zimeripotiwa siku mbili baada ya kupatikana kwa msichana mwingine wa kundi hilo la Chibok girls Amina Ali.
Amina Ali ambaye alipatikana May 18 2016 alialikwa na Rais wa Nigeria nyumbani kwake akiwa pamoja na mama na mtoto wake aliyejifungua wakati akiwa mateka wa kundi la kigaidi la Boko Haram,  anasema kati ya wanafunzi wenzake, sita walipoteza maisha walipokua mateka.

TUKO KWENYE SAA 48 ZA KUJUA MAPYA YA ALIKIBA, JINGINE NI HILI LA THE SOURCE MAGAZINE


Tunaendelea kuyafahamu mambo 7 ambayo yanaendelea kutangazwa ndani ya saa 48 kumuhusu mwimbaji staa wa bongofleva Alikiba ambaye alikuja South Africa juzi May 18 na jana May 19 amesaini mkataba na kampuni maarufu ya muziki duniani iitwayo Sony Music.
Mkataba aliosaini Alikiba ni kama ule aliosaini Davido wa Nigeria, ni mkataba wa dunia nzima na sio Afrika kama baadhi ya Wasanii walivyosaini akiwemo Rose Muhando, na sasa moja kati ya yale mambo saba hili ni jingine… Alikiba ataandikwa kwenye toleo lijalo la jarida la Marekani maarufu kwa kuandika habari za mastaa wa muziki The Source Magazine.
Meneja wake aitwae Seven alisemaAlikiba anakuwa msanii wa kwanza wa Tanzania kusaini mkataba na Sony World wide, ni mkataba wa miaka mitano, habari yake sio ndogo na sasa atatokea ameandikwa na Jarida maarufu la habari za mastaa Marekani The Source Magazine’
‘Atakua msanii wa kwanza wa Afrika Mashariki kuandikwa ndani ya hili jarida na hii itamsaidia kujulikana zaidi sababu ni jarida linaloaminika na linalosomwa na mamilioni ambapo kichwa cha habari kitasomeka kuanzia ukurasa wa mbele wa jarida hili’ – Seven
Sony 2

KUTOKA JO’BURG SOUTH AFRICA: KUANZIA LEO ALIKIBA YUKO MIKONONI MWA SONY MUSIC (PICHA 16)


Mwimbaji staa wa bongofleva Alikiba kuanzia leo atakua mikononi mwa Sony Music kuanzia leo, kampuni kubwa ya muziki inayofanya kazi na mastaa wa dunia kama Beyonce, John Legend na Chris Brown.
Moja ya kazi za mkataba huo ni kumtengeneza Alikiba kweye kiwango cha juu zaidi kimuziki, kibiashara na kugharamia video zake na anaporekodi audio zake, kila anapotoa muziki mpya unaachiwa kwa nguvu ya usimamizi wa Sony Music kwenye masoko makubwa ya muziki kama Marekani, Ulaya na Africa.
Sio kila msanii wa Afrika ameweza kusaini na Sony Music ambapo nimeambiwa kwenye shughuli hii ya leo kwamba mkataba aliosaini Alikiba unafanana kabisa na ule aliosaini mwimbaji staa wa Nigeria Davido ambapo unavipengele vya kusababisha kolabo kwa urahisi zaidi na mastaa wakubwa wakiwemo wa Marekani.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
3X6A0317
.
.
.
.
.
.
Managing Director wa Sony Music Africa Sean Watson na Alikiba
.